LGE2024 Mgombea uenyekiti wa Kijiji: Mkinichagua Mihuri itakuwa bure, hakuna kulipia

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Kampeni zimeanza kwa gia kubwa

"Mkinichagua mihuri itakuwa bure hamtalipia", ni kauli ya mgombea uenyekiti wa Kijiji cha Matamba wilayani Makete mkoani Njombe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ibrahim Ngogo akiwa kwenye uzinduzi wa kampeni hizo kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…