mkinichagua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Mtatifikolo: Mkinichagua nitatafuta wawekezaji wajenge kiwanda cha sukari kata ya Mlenge

    Mgombea Ubunge Jimbo la Ismani Emmanuela Mtatifikolo ameendelea na kampeni katika Kata ya Mlenge ambapo amewaahidi wananchi wa Kata hiyo kuwa endapo wakipiga kura za ndiyo na kuchagua Chama Cha Mapinduzi katika Uchaguzi Mdogo unaotarajiwa kufanyika Juni Mosi, 2026 atatafuta Wawekezaji kwaajili...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kyara: SAU Tukishinda Urais tutapunguza Bei ya umeme, Kupunguza makali ya maisha

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Kyara, amesema iwapo atachaguliwa kuwa Rais, atahakikisha anarejesha heshima ya wanaume ambayo imeonekana kupotea, kutokana na ukweli kwamba wengi wao siku hizi wanakwepa majukumu na kutegemea wanawake...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mgombea uenyekiti wa Kijiji: Mkinichagua Mihuri itakuwa bure, hakuna kulipia

    Kampeni zimeanza kwa gia kubwa "Mkinichagua mihuri itakuwa bure hamtalipia", ni kauli ya mgombea uenyekiti wa Kijiji cha Matamba wilayani Makete mkoani Njombe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Ibrahim Ngogo akiwa kwenye uzinduzi wa kampeni hizo kuelekea uchaguzi wa Serikali za...
Back
Top Bottom