GE2025 Mgombea Urais (AAFP): Nitatoa Trekta kwa kila kaya

GE2025 Mgombea Urais (AAFP): Nitatoa Trekta kwa kila kaya

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Wakulima (AAFP) Kunje Ngombale Mwiru ameahidi kugawa trekta 2 kwa kila kaya kumi katika kata ya Ifakara Mkoani Morogoro.

Pia ameahidi kuwapatia Vijana wenye umri kuanzia miaka 18 mashine aina ya power tiller kwa kila kijana ili aweze kujikwamua kiuchumi.

Ahadi hizo kwenye muendelezo wa kampeni zake mkoani morogoro Septemba 6,2025 wakati akihotubia Wananchi na nakubainisha kuwa ahadi hizo atazitekeleza mara tu atakaposhika madaraka ya rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Oktoba 29 Mwaka huu.

Soma Pia:
1757322121826.png
 
Back
Top Bottom