GE2025 Mgombea Urais ACT Wazalendo anapitia wakati mgumu sana kwa sasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Wakuu habari,
Hizi ni moja za habari zilivoeleza aliyekuwa mwanachama wa CCM na kuhamia ACT Wazalendo kisha kuchaguliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025























​
 
Wakiambiwa NRNE wanasema watalinda kura zao. Haya sasa…
 
Mungu ambariki katika harakati zake za kisiasa. Na kama ameamua akumbuke msemo wa wahenga usemao "shujaa hakati tamaa"
 
Wakati mgumu upi wakati Kila kitu alikijua kabla.....!

Ni kama watanzania tulishaamua kuwa wajinga na ujinga wenyewe ukaamua kufanya makazi ya milele Kwa vichwa vyetu.
 
Wakati ngumu ni kumpeleka mkeo hospitali kujifungua, huna chochote,

Unafika hospital unaambiwa hatohuduniwa bila cash,

Mara uchungu unazidi,..... Hujui ufanye nn!

Sasa Mpina apotia Hali ngumu vipi ikiwa alijua katiba na Sheria zinasemaje kuhusu issue hiyo?
 
Ni ujinga kukomaa na Luhaga Mpina huku wagombea wa ccm wakiachwa kwa makosa yale yale ya kusigina na kubagaza katiba ya chama
 
Mpina alienda kufanya nini ACT wazalendo? Alitakiwa atulie tu.
 
Na hiyo ni rasharasha masika bado! Wabunge watakatwa mpaka waseme basi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…