Kwa sasa ni kama nafasi zimejaaAwe mvumilivu atabugia mbivu hata mwaka keshokutwa.
Wakiambiwa NRNE wanasema watalinda kura zao. Haya sasa…Wakuu habari,
Hizi ni moja za habari zilivoeleza aliyekuwa mwanachama wa CCM na kuhamia ACT Wazalendo kisha kuchaguliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025
hapa ndo nakumbuka kauli ya Polepole, Mama kweli unaenda kushindana na kina Salum Mwalimu kweli mpina kweliii...... 😂 😂Wakiambiwa NRNE wanasema watalinda kura zao. Haya sasa…
Ni ujinga kukomaa na Luhaga Mpina huku wagombea wa ccm wakiachwa kwa makosa yale yale ya kusigina na kubagaza katiba ya chamaWakuu habari,
Hizi ni moja za habari zilivoeleza aliyekuwa mwanachama wa CCM na kuhamia ACT Wazalendo kisha kuchaguliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025
Mpina alienda kufanya nini ACT wazalendo? Alitakiwa atulie tu.Wakuu habari,
Hizi ni moja za habari zilivoeleza aliyekuwa mwanachama wa CCM na kuhamia ACT Wazalendo kisha kuchaguliwa kuwa mgombea urais wa chama hicho kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025
Sasa hata kurudi kwenye ubunge hawezi tena!Mpina alienda kufanya nini ACT wazalendo? Alitakiwa atulie tu.
Hawezi kugombea ubunge hata kwa chama cha ACT au muda umeisha?Sasa hata kurudi kwenye ubunge hawezi tena!
ACT Hawakufanya risk assessment!Hawezi kugombea ubunge hata kwa chama cha ACT au muda umeisha?
Ila kiukweli jamaa alikurupuka sana kwa kulewa sifa akashindwa kuangalia madhara ya mbeleni