Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Naona huyu mzee kaamua kumjibu bi mkubwa. Baada ya kutoa kauli yake ya kwamba vyama vya upinzania aviwezi kuonga nchi ila CCM ndicho chama chenye uzoefu.
===============
Mgombea Urais wa chama cha ADA-Tadea, Georges Bussungu, amewabeza wanaodai wapinzani hawana uwezo wa kuongoza nchi Kwa kudai wapo wengi walikuwa upinzani na kupewa madaraka serikalini.
Hayo amesema wakati akiomba kura Kwa wakazi wa Jijini Dodoma katika viwanja vya stand ya Nala Majengo.