McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha ADA -TADEA, Georges Bussungu amesema ikiwa Watanzania wanataka kuandamana waandamane kifikra wakapige kura ili wapate mabadiliko wanayoyataka.
Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
"Kama Watanzania wanataka kuandamana waandamane kifikira na sio kuandamana barabarani.Wanasema wanaandamana ili kuleta mageuzi, sasa waandamane ili walete mageuzi"
Soma