Uchaguzi 2020 Mgombea Urais CCM adhibitiwe kuhusu suala la matumizi ya lugha ya Kisukuma. Mwongozo wa lugha wanaounadi TBC ufuatwe

Hakuna yoyote kati ya wale wanaojiita chombo chao ni huru atanyanyua bakuli wote waneufyata
 
Jamaa ana siasa za kishamba sana, siasa za ukabila na ukanda, its not worth for our nation!
Acha uendawazimu wako lugha ambayo anaitumia ni ya kanda ya ziwa na kampeni zipo kanda ya ziwa na pia anachokinadi ni kwa ajili ya kanda ya ziwa wewe kina kuwasha nini acha ulofa
 
NEC kwa CCM hawafuati sheria kama kule njombe mgombea ubunge kakutwa na hatia ya ukwepaji kodi na ameruhusiwa kugombea
Majungu tu hayo weka ushahidi wa hatia aliyokutwa nayo.
 
Huyu Msukuma mkabila sana na Tume imekaa kimya bila kumpa onyo.
 
Tanzania hii mwenye msuli wa kumchana Magufuli laivu laivu ni wachache sana, kama NEC wote wanamuogopa , labda NEC wamtumie rais mteule Tundu Lissu
 

sio kila jambo lazima lichukuliwe serious sometime Katija maisha utans huwepo ...tujaribu kuangalia na mambo ya muhimu sidhani hotuba zake zote umeskia kilugha tu! tujaribu na kukusanya yale yalio ya msingingi sio kila jambo lazima lie na mtazamo chassi. "NEGATIVITY"
 
 
Umeambiwa afuate miongozo iliyotolewa na NEC,wewe unaleta hoja za mapambio hapa
 
JPM angesema Kiingereza mngekuwa kimya, ndio tatizo la wasomi makanjanja wamekalia majungu na unafiki tu.
 
Acha uendawazimu wako lugha ambayo anaitumia ni ya kanda ya ziwa na kampeni zipo kanda ya ziwa na pia anachokinadi ni kwa ajili ya kanda ya ziwa wewe kina kuwasha nini acha ulofa
unajua kanuni za uchaguzi zinasemaje ,yaani mmekuwa wapumbavu kutuletea ujinga
 
Anaetakiwa kumdhibiti kamteua yeye waza nini kitatokea
 
Sijataka hata kusoma maelezo yako lakini ukiwa sehemu ya kwenu hilo halizuiliki,ndiyo maana hata Tundu Lisu aliongea kiruga chao kule kwao majuzi tu wakati amekwenda kule

Punguza roho mbaya na jali nyumbani kwenu
 
Nani atamthibiti tunaposema tuna Katiba na Tume ya Ajabu ndio Matokeo
 
Makamanda si huwa mnasema wasukuma washamba acha aongeee na washamba wenzie.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…