Uchaguzi 2020 Mgombea Urais CCM adhibitiwe kuhusu suala la matumizi ya lugha ya Kisukuma. Mwongozo wa lugha wanaounadi TBC ufuatwe

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais CCM adhibitiwe kuhusu suala la matumizi ya lugha ya Kisukuma. Mwongozo wa lugha wanaounadi TBC ufuatwe

Waliopo mkutanoni wote wanafahamu kisukuma kama hupendi kajinyonge. Hata mimi naanza kukimanya.

BTW nenda kawaambie tume ya uchaguzi kwamba rais anavunja kanuni kwa kuhutubia kisukuma kuliko Kiswahili, wakati wasikilizaji wengi ni Wasukuma na wanaifahamu ile lugha vizuri zaidi. Khe khe khe khe kheee. Mmeanza kuokoteza sababu ambazo hazima mashiko. Hivi upimbi huu mtaacha lini?
Ndio maana waliliua hili lijinga, lilikuwa likiiharibu Tanzania na wafuasi wake mbumbumbu kama hawa wakilipa kichwa
 
Back
Top Bottom