Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Kusubiri matokeo yatangazwe eti ndio watu waandamane itakuwa too late.Anajisumbua tu. Siyo Tanzania ya leo. Tume itamtangaza na tutaandamana. Wasifikiri TL ni Mbowe.
Daah we jamaa unasema hivi kabisa kwa akili alizokupa Mungu unaamua kuzitumia ovyo, kwamba kupigia vyama vingine ni dhambi, aisee😭😭😭😭Ni dhambi kupigia kura chama kingine nje ya CCM
His Excellency President Magufuli is the man of century in Tanzania and Africa
All votes for you Mr President
.Huyu mzee imethibitika kabisa kuwa anawazimu!
Tusikubali aendelee kutuongoza, tumnyime kura kabisa
Mafarisayo watia hurumaMagu yupo sahihi kabisa
Kwa hiyo mkuu we una uhakika na kitakachofanyika ndani kwamba kumbe mawakala ni majina tu lakini wanakandamizwa hakuna haki ya kazi yaoKusubiri matokeo yatangazwe eti ndio watu waandamane itakuwa too late.
Hapa mnapaswa kwenda kupiga kura kwa wingi vituoni (sio kelele tu humu jamvini) then kuamini kwamba Mawakala huko ndani watasimama kidete kuhakikisha kura zinaandikwa kama zilivyo.
Akishatangazwa mtu hapo ujue maandamano yatazimwa kwa nguvu kubwa na most likely viongozi watakuwa wakihamasisha maandamano huku wao wamejifungia ndani
Hapo chini baada ya JPM kuna wagombea wengi, wote wana haki ya kutambulika kama Wagombea halali na si kwamba hawana uhalali. Kwa bandiko hili umeshajipa nafasi ya kunichagulia mgombea? Mimi huwa naandika, sifungamani na utumwa wa vyama.Sikutegemea mtu kama Barafu angekuwa wa ajabu namna hii! Umetuangusha kushabikia Mtu ambaye ana tiketi ya kurudi na wewe ni mbobezi wa masuala ya usafiri wa ndege. Inaonesha siku hizi umekuwa wa hovyo
Mtu wenu hajiamini kabisa pamoja na kujisifia kote hukoMagufuli yuko sahihi, naunga mkono kauli yake.
Huu ni mwaka wa wapinzani kulamba ushindi. Sychelles wamefanya yao tayari, sisi bado Masaa tufanye yetu.Ni dhambi kupigia kura chama kingine nje ya CCM
His Excellency President Magufuli is the man of century in Tanzania and Africa
All votes for you Mr President
Wengine wengi huwa wanaunga mkono juhudi huko ndani baada ya kupewa cash/kuahidiwa fedha.Kwa hiyo mkuu we una uhakika na kitakachofanyika ndani kwamba kumbe mawakala ni majina tu lakni wanakandamizwa hakuna haki ya kazi yao