n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Kama una akili pungufu, kumwelewa Magufuli utapata tabu Sana. He's always use high-level languages ambazo watu kama wa chama cha Mbowe hawawezi ielewa maana wao huelewa lugha ya michango tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DaahWengine wengi huwa wanaunga mkono juhudi huko ndani baada ya kupewa cash/kuahidiwa fedha.
Basi ntakutafutia humuhumu JF kukumbusha.Maandamao mazuri huwa hayapangwi. Yanatokea tu. Siku hizi nani anatumia Voda, Airtel...? Tunatumia WhatsApp. Hakuna mambo ya kudukua mawasiliano ya watu.