Uchaguzi 2020Mgombea Urais CCM: Msisumbuke kuangalia majina mengine kwenye karatasi ya kura, majina na wagombea wengine siyo halali, usipoteze muda kuwaangalia
Kama una akili pungufu, kumwelewa Magufuli utapata tabu Sana. He's always use high-level languages ambazo watu kama wa chama cha Mbowe hawawezi ielewa maana wao huelewa lugha ya michango tu.
Maandamao mazuri huwa hayapangwi. Yanatokea tu. Siku hizi nani anatumia Voda, Airtel...? Tunatumia WhatsApp. Hakuna mambo ya kudukua mawasiliano ya watu.