GE2025 Mgombea Urais CUF: Mtoto akizaliwa kabla hajapewa jina tutampa NIDA

GE2025 Mgombea Urais CUF: Mtoto akizaliwa kabla hajapewa jina tutampa NIDA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Mgombea wa CUF Gombo Samandito Gombo ameahidi endapo atashinda atahakikisha kila mtoto atakayezaliwa nchini kabla hata ya kupewa jina na wazazi wake atapewa kitambulisho cha taifa cha Nida ili kumuondolea usumbufu pindi atakapokuwa mtu mzima

Gombo Samandito Gombo ameyasema hayo leo Septemba 14 wakati akiwahutubia wakazi wa mji wa Tabora kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya stendi ya zamani akiwa anaendelea na kampeni pamoja na kunadi sera zake kwa ajili ya kuomba ridhaa kwa wakazi wa mkoa wa Tabora ili aweze kuiongoza Tanzania kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.


 
kitambulisho cha taifa cha Nida ili kumuondolea usumbufu
Kwahio wanajua kama vina usumbufu upatikanaji wake lakini wapo kimya kama misukule. Hakuna mgombea hata mmoja alie gusia kesi ya Tundu Lissu.
 
Back
Top Bottom