Kwahio wanajua kama vina usumbufu upatikanaji wake lakini wapo kimya kama misukule. Hakuna mgombea hata mmoja alie gusia kesi ya Tundu Lissu.kitambulisho cha taifa cha Nida ili kumuondolea usumbufu
Ndio wapinzani wa awamu hii.Ana point nzuri ila kwenye NIDA wataweka utambulisho upi