Nyange
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 3,517
- 1,869
Mgombea wa Urais ambaye yuko madarakani kwa sasa hapaswi kutoa ahadi kwakuwa yeye bado ni Rais hivo yeye aanze kutekeleza kwa vitendo kuwafanyia wananchi. Aanze kununua meli, aanze kujenga barabara, nk, hana haja ya kudai kuwa akichaguliwa, ata
hayo ni kama maigizo, tumeyasikia sana na yamekuwa kero kwa vile hayatekelezeki na ni kama usanii!
Mfano Ili kuondoa msongamano wa magari barabarani, ati atajenga barabara za juu!! wakati barabara za vumbi kuziwekea rami zimemshinda kwa kipindi chote alichokuwa madarakani na tangu uhuru!. Akiwa waziri wa nishati na madini ukiachilia mbali kusaini mikataba inayo tia aibu kwa nchi, alishindwa kutatua tatizo la maji ambalo lilikuwa kwenye ofisi yake. Haikuishia hapo , akapewa miaka mitano kama Rais, bado akashindwa kulimaliza. Nilimsikia eti anatakiwa apewe miaka miwili tu ili alimalize! Hii si aibu tupuya chama?.
Wadau nimetafakari kwa kina nikimshangaa mgombea urais mtaalam wa ahadi. especially hii ya Machinga Complex.
Kwa watu waishio Dar mnajua biashara ya kimachinga. Hawa wafanya biashara hushawishi mtu ambaye tangu mwanzo anakuwa hana nia ya kununua bidhaa. lakini kwa kukutana naye, hushawishi kwa maneno matamu na punguzo la uhakika ili hatimaye ubadili mawazo na ununue bidhaa hiyo. Si kweli mtu anaweza kutoka nyumbani kwake akitafuta bidhaa kwenye machinga complex, wakati Kariakoo anaifahamu vyema na soko jipya la bidhaa Mlimani city, hapa inaonekana jamaa ameshindwa ku-link wamachinga na matakwa yao.
Machinga Complex iliyojengwa karibu na uwanja wa Karume, haiwezi kuwa bussy na biashara kwa kuwa mmachinga ili afanye biashara inabidi akutane na watu wakipita ndo awashawishi. Kwa jengo lile machinga hawezi kukutana na watu na hivyo hawezi ku- Make.
Mgombea Urais Kutangaza hadharani kwamba Selikari ikishika madaraka itajenga Machinga Complex kila wilaya za Dare s Salaam, inaonesha jamaa hajui kwa undani maana ya biashara ya kimachinga, na matatizo wanayo yapata. Namshauri kabla ya kuhutubia ajadiliane na watu wenye Upeo wa kujua mambo ili wamshauri cha kuongea kwenye mikutano make kila siku zinavyozidi kusogea ndivyo watu wengi wanagundua kuwa mkulu matatizo ya nchi hayafahamu vizuri na anaongea yaliyoko kichwani peke yake. Kwa nini mbunge wa zamani wa mtera asimsaidie mawazo?. Na pengine ndo maana wanaogopa midahalo wataulizwa kwanini wasitekeleze nao wana ahidi kama vile hawako madarakani.