GE2025 Mgombea Urais kupitia NRA Hassan Alma achukua fomu ofisi za INEC Dodoma

GE2025 Mgombea Urais kupitia NRA Hassan Alma achukua fomu ofisi za INEC Dodoma

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Mgombea urais kupitia chama cha National Reconstruction Alliance (NRA), Hassan Alma alivyokabidhiwa fomu za kugombea kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Dodoma

 
Form ya urais bei gani
Naona vyama vya msimu
Vimefufuka

Ova
 
Back
Top Bottom