Uchumi wa kati!Hii inamaanisha nini kuenda peku peku?
Maagizo ya mganga.Hii inamaanisha nini kuenda peku peku?
Wamesema eti watanzania wao ni wakulima na wakulima wanalima peku, pia watanzania wengi hawana viatu so ni Kama kuwatia moyo wasio na viatu.Hii inamaanisha nini kuenda peku peku?
Nakubaliana na wewe kabisaWalivua viatu kwa sababu za kidini na kuviacha kwenye gari. Hakuna lingine.