GE2025 Mgombea Urais NCCR-Mageuzi: Nikipata Urais nitanyoosha Maadili wasanii Bongo Movie

GE2025 Mgombea Urais NCCR-Mageuzi: Nikipata Urais nitanyoosha Maadili wasanii Bongo Movie

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mgombea wa kiti cha Rais kupitia chama cha NCCR Mageuzi, Haji Ambar Khamis, amesema iwapo atapata nafasi ya kuongoza nchi, ataweka kipaumbele katika kurejesha maadili kwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya, waigizaji na vijana wanaotumia mitandao ya kijamii kutukana viongozi wa serikali

Ambar amesema kwa muda mrefu, baadhi ya wasanii wa muziki na filamu wamekuwa wakitoa kazi zisizoendana na maadili, mila na desturi za Kitanzania, huku mamlaka husika zikionekana kufumbia macho hali hiyo licha ya kuwepo kwa sheria

Amesisitiza kuwa serikali yake itahakikisha inarejesha maadili hayo, sambamba na kulinda heshima ya taifa na viongozi wake


 
Mhe rais anyooshe na nyimbo zao pia.

Mfano : ikiingia tamu, ikivhomoka tamu
 
Back
Top Bottom