GE2025 Mgombea Urais SAU atembelea Kaburi la Baba wa taifa, aweka shada la maua

GE2025 Mgombea Urais SAU atembelea Kaburi la Baba wa taifa, aweka shada la maua

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara Jana Oktoba 11, 2025, amezuru kaburi la Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere eneo la Mwitongo Butiama mkoani Mara na kuweka shada la maua.

Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Sauti ya Umma(SAU), Majalio Kyara Jana Oktoba 11, 2025.jpg
Kyara amezuru kaburini hapo akiambatana na Mgombea mwenza Satia Bebwa wagombea hao pia walipata fursa ya kuongea na familia ya Hayati Mwalimu Nyerere.

Soma: Rais Samia aweka shada la maua kwenye kaburi la Mwalimu Nyerere

1760266550565.png

1760266560757.png
 
Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.

Siku hiyo kazi ni rahisi sana

Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.

Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu

VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu

Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu

Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.

Share na mwenzako
 
Back
Top Bottom