Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara akiwa kwenye Kampeni Tunduma alisema endapo ataingia Madarakani atahakikisha anatokomeza vitendo vya rushwa kwa kivitendo, ili Watanzania waweze kupata haki hasa katika utoaji wa huduma katika sekta mbalimbali zinazowagusa
Soma pia GE2025 - Kyara: SAU Tukishinda Urais tutapunguza Bei ya umeme, Kupunguza makali ya maisha
Soma pia GE2025 - Kyara: SAU Tukishinda Urais tutapunguza Bei ya umeme, Kupunguza makali ya maisha