Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Majalio Kyara akiwa kwenye Kampeni Tunduma alisema endapo ataingia Madarakani atahakikisha anatokomeza vitendo vya rushwa kwa kivitendo, ili Watanzania waweze kupata haki hasa katika utoaji wa huduma katika sekta mbalimbali zinazowagusa
Atatokomeza rushwa kwa vitendo gani tena! Yeye mwenyewe hapo alipo amehongwa gari la kufanyia kampeni, na kapewa na dereva wa kumuendesha! Usikute amepewa na posho ya kujikimu! Anajaziwa mafuta bure, nk!