Mgombea Urais TFF Oscar Oscar: Yanga SC inaongozwa Kihuni na ikiri tu kwa Mashabiki kuwa inaogopa kufungwa nyingi tarehe 3 July, 2021

Endeleeni kuweka pamba masikioni tu, mtavuna mnachopanda wakati Simba inazidi kutambulika kimataifa.
 
Yanga ni kikundi fulani ambacho kiko disorganised kuanzia kwenye management uongozini mpaka timu uwanjani, kuwaita watani ni sawa kabisa, ila Yanga hawajawa na uwezo wakuitwa washindani wa Simba SC.
Timu ambayo imemfunga mwenzake mara nyingi ( head to head)

Timu yenye vikombe vingi (all time champions of Tz)

Timu inayongoza kukufunga magoli mengi (goals differences)
 
Timu ambayo imemfunga mwenzake mara nyingi ( head to head)

Timu yenye vikombe vingi (all time champions of Tz)

Timu inayongoza kukufunga magoli mengi (goals differences)
Wazee wa historia!! Wamebakiza kumbukumbu: Nilikuwa natembelea V8 na kuvaa suti Kali! Ila kwa sasa hata baiskeli ya mbao hana, anatembelea msuli na kandambili miguuni!! Ndio yanga mabingwa wa kihistoria! Ukitaka kuwaona tembelea jumba la makumbusho!!!
 
Nawewe si utengeneze yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…