GE2025 Mgombea urais UDP Saum Hussein: Tukiingia madarakani UDP tutajenga viwanda vikubwa kila mkoa

GE2025 Mgombea urais UDP Saum Hussein: Tukiingia madarakani UDP tutajenga viwanda vikubwa kila mkoa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Saum Hussein Rashid, ameahidi kuwa endapo atachaguliwa kuwa Rais, basi serikali yake itaweka nguvu kwa kujenga viwanda vikubwa vya kuchakata malighafi kila mkoa ili kujihimarisha na kujikwamua katika uchumi.

Amesema hayo katika uzinduzi wa kampeni yao ilifanyika Kijiji cha Mahaha Mkoani Mwanza

 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nacheka kama mazuri
 
Back
Top Bottom