GE2025 Mgombea Urais UDP: Tumejipanga kutoa bima ya afya kwa wanachi bila mashariti yoyote

GE2025 Mgombea Urais UDP: Tumejipanga kutoa bima ya afya kwa wanachi bila mashariti yoyote

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mgombea Urais UDP: Tumejipanga kutoa bima ya afya kwa wanachi bila mashariti yoyote tunamini katika nguvu kazi ya taifa ni wananchi kuwa na afya njema.

 
Mgombea Urais UDP: Tumejipanga kutoa bima ya afya kwa wanachi bila mashariti yoyote
Nampongeza sana kwa kuiga hii sera ya Rais Samia.
mimi ni muumini wa bima ya afya kwa wote.Huwa nakasirishwa sana na watendaji wanaojitoa ufahamu wa namna ya kuitekekeza.
 
Tumepewa magari na pesa kwaajili ya kampeni, Asante Mama Samia
Hapo Kuna upinzani au ushiriki wa uchaguzi.
 
kwamba uraia yeye haoni ni sharti

Hawa watu Samia kawatoa wapi
 
Back
Top Bottom