Mgombea Urais UDP: Tumejipanga kutoa bima ya afya kwa wanachi bila mashariti yoyote tunamini katika nguvu kazi ya taifa ni wananchi kuwa na afya njema.
Nampongeza sana kwa kuiga hii sera ya Rais Samia.
mimi ni muumini wa bima ya afya kwa wote.Huwa nakasirishwa sana na watendaji wanaojitoa ufahamu wa namna ya kuitekekeza.