Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mgombea urais wa Chama cha UPDP, Twalib Kadenge amewashangaza wananchi wa Mwanza kwa staili yake ya kampeni ya kucheza muziki kila baada ya kutoa ahadi moja na kuzungumzia sera za chama chake.
Akizungumza amesema, "UPDP ikipewa ridhaa ya wananchi, mtoto kuanzia darasa la 1 mpaka la 7 atasoma masomo ya darasani, huku darasa la 8 hadi la 10 atasomea ujuzi aliouchagua mwenyewe."
Akizungumza amesema, "UPDP ikipewa ridhaa ya wananchi, mtoto kuanzia darasa la 1 mpaka la 7 atasoma masomo ya darasani, huku darasa la 8 hadi la 10 atasomea ujuzi aliouchagua mwenyewe."