Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CCM mwaka huu ni kama Lowassa wa 2015, watu (watoto) wanafurika kwenye mikutano yake lakini hana cha kuwaambia

Magufuli na CCM yake walishashindwa miaka mingi Sana katika nchi hii,wanategemea dola kuweza kubaki madarakani ila hawana jipya,naamini Watanzania milioni 40 tu wangekuwa na akili na mawazo kama yangu huyu Magufuli na CCM yake tungewaondoa pale Magogoni kwa viboko tu tena vya mbua wa mtama au mhindi
 
Nyie watumwa hamumjui JPM. Jembe linajiamini. Kwani maji hayako katika ilani ya mwaka huu??!! Sio wajinga Fulani wanatumwa kwa makusudi kwenda kuharibu tu mikusanyiko ya JPM. Nakuhakikishia yule jamaa atampa tu kura JPM kama kweli anayataka maji.
Anajiamini kwa sababu CCM inashikila dola miaka zaidi ya 50 na Watanzania wengi Bado wajinga Sana.
 
So Lissu nae alinunuliwa na Lowassa?[emoji3]
Lowasa acha kumtaja hadi Lisu alifika bei kununuliwa ni Slaa na Lipumba tu ndio waligoma kufika bei

Rushwa upinzani walio clean ni Lipumba na Slaa tu the rest ni crap wala rushwa wakubwa
CCM Hawatubabaihi
 
Katambi VS Lissu
Same level ya mdahalo...
 
Lisu anauzika akisindwa uraisi CCM tunamnunua tena kwa bei ndogo tu ya bure
 
Hii Ina nikumbusha jinsi Mkapa alivomsambaratisha Mrema kwenye mdahalo Mwaka 1995!
Professa Baregu alijuta kunifahamu Mrema!
Ndio maana Kuna watu ukimwambia mdahalo wanaweza kukutukania mama yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…