Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CHADEMA azidi kupoteza kura toka kwa wananchi

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
8,734
Reaction score
5,750
Kama wahenga wanavyosema unapokuwa unaongea na watu unatakiwa uwe mwangalifu maana kauli yako inaweza kukuponza. Na hiki ndicho kinachotokea kwa mgombea wa Chadema. Mdomo na kauli zake zinazidi kumponza na sasa kura zake zinazidi kupungua. Maana atleast watu walikadiria angepata hata kura laki mbili na nusu lakini sasa huenda akaambulia kura laki na nusu.

Mtu mwenye busara zako ambae unasaka kura kwa wananchi huwezi kusema kuwa mradi kama JNHPP hauna manufaa kwa wananchi. Na unaongea na mwandishi wa habari na kuanza kutoa takwimu za kutafuta kwenye mitandao eti gharama za kujenga mradi huo ni Usd bil 11wakati sio kweli.

Hivi ni mtanzania gani ambae hajui umuhimu wa huu mradi? Ni mtanzania gani ambae hajui kuwa gharama za huu mradi ni tril 6.5 ambazo ni sawa na Usd bil 3.3 kwa kukadilia. Kauli ya Tundu Lissu imewatia hofu watanzania sababu inaonyesha wazi hana nia ya kuwaondolea watanzania kero ya gharama kubwa za umeme kwa sasa.Sababu huu mradi utapokamilika ni wazi kuwa gharama za umeme zitakuwa chini.

Nimeshangazwa kusikia Tundu Lissu akisema eti serikali ya awamu ya tano haijafanya jitihada zozote kulinda rasilimali za nchi. Hivi Lissu amesahau kuwa madini kama Tanzanite na dhahabu yalikuwa yanatoroshwa kama nyanya na kwenda kuuzwa nchi za jirani? Lissu amesahau kuwa kuna ukuta umezungushwa Mererani na sasa Tanzanite haitoroshwi tena na mapato ya serikali yameongezeka?
Dhahabu nayo haitoroshwi hovyo na hii ni baada ya kuanzishwa kwa masoko rasmi ya dhahabu. Na masoko haya yamechangia kupata mapato makubwa kwa serikali.

Pia ameshangaza watanzania kwa kusema eti serikali ya awamu ya tano imewanyima haki za kunufaika na rasilimali zao wananchi wanaoishi jirani na migodi mikubwa. Hivi Lissu anashindwa kutambua kuwa awamu ya tano ilivyoingia wachimbaji wadogo wameruhusiwa kufanya shughuli zao bila bugudha. Walikuwa wanafukuzwa maeneo kama Mwakitolyo, Shinyanga lakini serikali ya awamu ya tano ikawaruhusu na kunyag'anya wawekezaji ambao walikuwa hawayaendelezi na kuwanyanyasa wakazi wa maeneo hayo.

Kwa ufupi huyu mgombea wa Chadema ni kama anajiabisha kuzunguka nchi nzima akipinga mambo ambayo hata kwa macho tu mtu mwenye busara huwezi kuyapinga. Na hii ndio inazidi kumpunguzia kura ambazo angezipata kama kifuta machozi kwa kuzunguka Tanzania.
 
20200912_125259.jpg
makamanda wamepandishwa kwenye fuso
 
angekuwa kweli anapoteza kura, huku wewe unapenda itokee hivyo (yaani apoteze kura), nina uhakika wa 100% ungenyamaza kimya na wala usingemtonya kama unavyofanya kupitia huu uzi wako.

nasemaga kila uchwao humu.... Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako!
 
Downloadfanya hivi kura yako wewe na mkeo mpeni Magufuli sawasawa ila sisi tulio wengi tutampa tundu lissu
 
angekuwa kweli anapoteza kura, huku wewe unapenda itokee hivyo (yaani apoteze kura), nina uhakika wa 100% ungenyamaza kimya na wala usingemtonya kama unavyofanya kupitia huu uzi wako.

nasemaga kila uchwao humu.... Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako!
Hapa naweka wazi nini kinaenda kutokea ili ufahamu na wenzako mnaopinga maendeleo.
 
Back
Top Bottom