Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CHADEMA azidi kupoteza kura toka kwa wananchi

View attachment 1567397 makamanda wamepandishwa kwenye fuso
Bora mkae kimya maana wananchi tuna jambo letu tarehe 28 october tuombeane uzima tu
 
Kuwa na Mgombea asiyejua hata kujieleza akaeleweka kazi ipo!!
 
Vijiji vinavyozunguka mgodi mkubwa wa dhahabu wa Geita gold mine, bugurura,Nyamikoma, lwenge,Kamwanga na kiziba ni vijiji vyenye umaskini mkubwa duniani. Hakuna shule, hospital,maji,umeme, barabara ,na hawapewi ajira za kudumu wananchi wa maeneo hayo.ni aibu kubwa sana
 
Kwani Ggm hawafanyi Csr? Na kusema kuwa hakuna shule, hospital maji na umeme linanitia shaka. Weka uthibitisho.
 
Studies zinaonyesha kuwa Mwl JKNyerere ndiye aliyebuni mradi wa umeme wa Stiglers Gorge through taasisi ya RUBADA mapema 1980. Na upembuzi yakinifu ulifanyika. Kwa sababu mbali mbali mradi hauku take off wakati ule umekuja kukazimishwa mwaka 2016 na Magufuli

Hakuna upembuzi yakinifu mwingine uliofanyika zaidi ya copy and paste ili kumridhisha Jiwe ambaye akiamua la kwake ameamua. By rule of thumb inawezekana 36% ya maji yamepungua kati ya mwaka 1978 na 2016 kutokana na sababu zifuatazo;

1. Utekelezaji wa Mtera Dam pale kati ya Dodoma na Iringa

2. Utekelezaji wa Kihansi Electricity Project pale Kilombero

3. Shughuli za binadamu kwenye bonde la Usangu na bonde la Kilombero

4. Mabadiliko ya tabia nchi kusababisha mvua kupungua

5. Mito yetu kujaa matope sana

Hata ukirudi nyuma tuliaminishwa wakati Mtera inajengwa mwaka 1981 na Kihansi mwaka 1993 kuwa yalikuwa ni masuluhisho ya matatizo ya umeme Tanzania. Lakini shida ziliendelea mpaka leo.

Kama Magufuli angekuwa rational angekubali tu tuendelee na umeme wa gesi ya Mtwara. Ila anataka ku mprove JK kuwa alikuwa wrong yeye ndiyo ana upeo. Kitu ambacho si kweli.
 
Acha kukurupuka, Kama unadai Mtera na Kihansi hazijatatua tatizo la umeme hapa Tanzania mbona mgao wa umeme tumeusahau toka JPM aingie madarakani?
Acha mbwembwe na kutoa sababu za kusema eti maji yatakuwa yamepungua tofauti na ilivyokuwa huko nyuma wakati wanafanya upembuzi yakinifu. Maji yote yanayotokea mto wa Ruaha mkuu yanakuja kuingia mto rufiji. Kwa hiyo hizo sababu ulizotoa hazina mashiko. Mwaka huu tu mto Rufiji ulifurika na kujaa mpaka ukaleta madhara kwa wananchi.
 
Hebu mpe quiz mama yako ya kuandika tarakimu ya trilioni 6 hapo kama ataweza ndio ujue kuwa hujui ulichoandika
 
Downloadfanya hivi kura yako wewe na mkeo mpeni Magufuli sawasawa ila sisi tulio wengi tutampa tundu lissu
Nyinyi mlio wengi wapi kamanda..Ndani ya chama chetu au...kwa sababu kiukweli kwanza sio wengi...wanachama wa ccm wapo zaidi ya 18milioni na wa chama chenu ni 6 million. Haya wale wasio na chama asilimia 80 wapo nyuma ya Magufuli..Sijui upo hapo..sasa nyinyi Mko sehem gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…