Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa CHADEMA azidi kupoteza kura toka kwa wananchi

Kama waliowahi kutoa CSR zitaje. Vijiji hivyo vina Hali mbaya Sana.
Ggm wanatoa bil 9.2 kama Csr kwa halmashauri ya Geita. Nafikiri usidhanie kuwa mgodi kuwepo Geita ndio kila kaya ijengewe nyumba.
Kwani Lissu anataka iweje? Kwa kuwa kuna mgodi Geita,kila mwananchi awe anajengewa nyumba na kupewa pesa mkononi?
 
He unajuwa mabadiliko ya tabia nchi wewe? Na athari zake au unatetea tu ujinga mulioaminishwa na Magu?
 
He unajuwa mabadiliko ya tabia nchi wewe? Na athari zake au unatetea tu ujinga mulioaminishwa na Magu?
Nakuambia acha kukariri uongo wa Lissu eti hii ni nchi ya kitropiki. Mto rufiji unatributaries kubwa kama nne. Kubwa kabisa ni great ruaha river. Hauwezi kukosa maji ya kuzalishia umeme.
Nimekuuliza swali kama kuna athari za mabadiliko ya tabia nchi mbona Kidatu na Kihansi zinazalisha umeme? Mbona hakuna mgao wa umeme?
 
Sasa kama anapoteza si ukae kimya ufurahie
 

Kwani wewe umeoneshwa mkataba wake kwanini mikataba yenye bei inadichwa kinyume na sheria halafu yanabakia maneno tu ya mdomoni, kwa jinsi tulivokwishadanganywa hakuna anayeweza kuamini hayo maneno bila kuona mkataba. Watanzania siyo wajinga kama wewe ambaye unatamka pesa unazoambiwa badala ya kuona hiyo gharama kwenye mkataba.

Kuna ubaya gani kuweka mkataba wake hadharani kuna nini kinafichwa na ni nani anatoa hizo pesa wote tunafahamu kuwa makusanyo yetu kwa mwezi ni trillion 1.4 na wage bill kwa mwezi ni billion 700 na malipo ya madeni ambayo tume shaka pa kila mwezi ni billion 700 sasa hizo trillion za kujenga bwawa la umeme kwa pesa zetu ni zipi wakati makusanyo yetu ndiyo hayo. Kwanini tunadanganywa kama tumekopa tuambiwe tumekopa wapi na masharti gani ya hiyo mikopo.

Kuhoji kuweka wazi mikataba ya hiyo miradi mikubwa ya serikali pamoja vyanzo vyake vya mapato ni haki ya kila mtanzania sasa kwanini mgombea akose kura kwa kuhoji mambo ya msingi kama hayo. Labda wewe ambaye bado unaweza kudanganywa ndo unadhania na watanzania bado wanadanganyika kama wewe.
 
Kwa hiyo mikataba iwekwe hadharani kwenye magazeti?
Kwa hiyo wewe na akili zako unajua kuwa chanzo cha mapato ya serikali ni kodi tu?
Ndio maana unadhani kuwa tril 1.4 ulizosema ndio pato la taifa kwa mwezi?
 
Endelea kuonyesha UFINYU wa akili unadhani hiyo Serikali dhalimu ingekuwa haijapora hizo pesa? PUMBAVU!
Naona una hasira kali sana Kaka, vumilia siasa ndivyo zilivyo.
 
Ukitaka kufurahi kwenye huu uzi soma comments moja baada ya nyingine utagundua mambo mengi sana, Kama si mvivu fanya hivo
 
Ukitaka kufurahi kwenye huu uzi soma comments moja baada ya nyingine utagundua mambo mengi sana, Kama si mvivu fanya hivo
Hebu niambie umegundua nini ndugu😁😁
 
Naona huna la kuandika,sasa unaleta habari za kipuuzi,anapotea mbona baba yenu aachi kufanya kampeni na ndio anazidi kuomba watu wasimuache wamchague tuu amalizie mitano,mshaurini akae kama Lissu hana mvuto
 
Hebu niambie umegundua nini ndugu😁😁
Mfano mmoja watu wanavyolazimisha kuunga mkono vitu ambayo havina maana, eti watanzania hawana haja na mradi wa umeme!! Kama sio comedy kumbe ni nini sasa hicho.
 
Kima
 
Mfano mmoja watu wanavyolazimisha kuunga mkono vitu ambayo havina maana, eti watanzania hawana haja na mradi wa umeme!! Kama sio comedy kumbe ni nini sasa hicho.
Hahaha unaweza kutamani uwaulize kama hizo sim zao na laptops zao wanazotumia kucomment hapa jamiiforum zinatumia kuni au mkaa

Wamejawa ubinafsi mnoo
 

Njooni mumuuze Lissu huku Kilimanjaro, wengi wanataka vitendo na sio maneno. Kilimanjaro inaenda upande wa pili tena kwa kasi sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…