tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Mgombea urais kupitia Chama cha Democratic Party (DP), Abdul Mluya leo Jumatano Agosti 13, 2025 ameongoza msafara wake kuelekea Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) zilizopo mtaa wa Njedengwa, jijini Dodoma, kuchukua fomu ya uteuzi.
Soma pia: Mgombea wa Urais kwa Tiketi ya Chama cha Makini, Coaster Kibonde achukua fomu ofisi za INEC
Mpaka jana Jumanne Agosti 12, tayari watia nia wa vyama 11 walikuwa wameshachukua fomu. Vyama hivyo ni pamoja na CCM, Demokrasia Makini, AAFP, NRA, NLD, UPDP, Ada Tadea, UMD, TLP, CCK, Chaumma.
Chanzo: Mwananchi official