Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ndiye aliyeteua wafuatao

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Nakumbusha tu kwa wakati tuliopo, Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi ndiye aliyeteua wafuatao:

1. Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi
2. Mkurugenzi wa uchaguzi
3. IGP
4. Jaji mkuu
5. Mkuu wa Majeshi
6. Wajumbe wa Bunge la Katiba
7. Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU
8. Kiongozi wa Shughuli za Serikali Bungeni.

NB: Mwenyekiti wa CCM hanuniwi.
 
Umesahau ahadi kiapo wabunge wa ccm kumlazisha atake asitake.Ndio maana tunamhitaji Lissu tuweke sawa jambo letu kuwa na katiba bora wananchi wawe na nguvu kuoitia taasisi na mifumo imara.
 
Siku ya kufa nyani miti yote huteleza ndio maana saivi anawaalika magavana wa makoloni yetu wake ionekane anauhusiano mzuri na mataifa ya nje
 

umemsahau DPP
 
Nyie mnawazaga mauteuzi tu kwani huwezi kuishi bila mavyeo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…