CCMkuelekeaUchaguzi
Senior Member
- Aug 18, 2015
- 179
- 77
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nsimbo (hawaonekani pichani) wakati akielekea Uvinza mkoani Kigoma katika mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Kidahwe mkoani Kigoma katika mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Kazuramimba mkoani Kigoma katika mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020.