Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi majibu ya maswali yameshatolewa? Mambo mengi ...Pamoja
Basi sawa, nimehangaika kuyatafta majibu ya maswali hola, mpaka nimetuma PM kwakoKutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi kumuuliza maswali Mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Ndg. Tundu Lissu; imebidi apate muda kuyapitia maswali yote (takriban 200) ili kila mmoja ajibiwe. Maswali hapa JF yaliulizwa kupitia > Uchaguzi 2020 - EXCLUSIVE: Maswali kwa Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kutoka kwa Watanzania watumiao mitandao ya kijamii
Aidha, takribani maoni 600 yamekusanywa toka Facebook na mengine takribani 165 toka Instagram; mengine 66 ya Twitter pamoja na wale waliotuma SMS, DM na barua pepe(Email).
Tunatarajia kufikia kesho atakuwa ameyapitia maswali hayo na yote yatajibiwa.
Shukran kwa wote walioshiriki; tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza
Hapa tukaeni kimya tusubiri mgombea aingie kujibu maswali yetu!Maswali yalisha ulizwa jana wacha kujaza server bure