Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu kujibu maswali ya wananchi watumiao mitandao

Baba Lissu Baba....Fao la kujitoa na kikokoteo...naomba iwe first assignment yako
 
Naomba maswali mengine yasiyo ya kisera na yale ya kizushi ya wana-vegans, mtuachie tu, ni saizi yetu wale! Mh. Lissu, makamanda wakuu na hata mapro mtandaolists wafanya kazi nyingine za muhimu!
 
Basi sawa, nimehangaika kuyatafta majibu ya maswali hola, mpaka nimetuma PM kwako

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…