PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 459
- 644
Mgombea urais kupitia Chama cha Makini, Coster Jimmy Kibonde, amesema yuko tayari kuvaa viatu vya hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika kuwatumikia Watanzania kwa uzalendo, uaminifu na uwajibikaji mkubwa endapo atapewa dhamana ya kuongoza taifa.
Soma: Mgombea Urais, Coaster Kibonde: Nikishinda Urais, Rais Samia atabaki Ikulu
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kutembelea kaburi la hayati Magufuli huko Chato, Kibonde amesema anamchukulia Magufuli kama mfano wa kiongozi aliyeweka mbele maslahi ya taifa na aliyejitolea kwa dhati katika kulijenga taifa.
Katika ziara hiyo, Kibonde aliambatana na mgombea mwenza wake pamoja na mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Makini, ambapo wote walifika kutoa heshima kwa kiongozi huyo wa zamani na kutambua mchango wake katika maendeleo ya taifa.