Influenza
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,509
- 3,756
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mhe. Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akikabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa UMD, Khalfan Mohamed Mazurui na Mgombea Mwenza, Mashavu Alawi Haji katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma leo Agosti 10, 2020. Chama hicho kinakuwa cha kumi na mbili (12) kuchukua fomu.
Uchukuaji fomu za kugombea kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 umeanza Agosti 5 hadi 25,2020.
Uchukuaji fomu za kugombea kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 umeanza Agosti 5 hadi 25,2020.