Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa tiketi ya Chama cha UMD, Khalfan Mohamed Mazurui achukua fomu ya Uteuzi NEC

Uchaguzi 2020 Mgombea Urais wa tiketi ya Chama cha UMD, Khalfan Mohamed Mazurui achukua fomu ya Uteuzi NEC

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mhe. Jaji wa Rufaa (Mst), Semistocles Kaijage akikabidhi fomu za kugombea kiti cha Rais kwa Mgombea wa UMD, Khalfan Mohamed Mazurui na Mgombea Mwenza, Mashavu Alawi Haji katika Ofisi za NEC, Njedengwa Jijini Dodoma leo Agosti 10, 2020. Chama hicho kinakuwa cha kumi na mbili (12) kuchukua fomu.

Uchukuaji fomu za kugombea kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa 2020 umeanza Agosti 5 hadi 25,2020.

EfDlKRIWkAEyKmv.jpg
 
Back
Top Bottom