GE2025 Mgombea urais Zanzibar: Tusiwapeleke Wazanzibari kwenye matatizo kwa wivu wa madaraka

GE2025 Mgombea urais Zanzibar: Tusiwapeleke Wazanzibari kwenye matatizo kwa wivu wa madaraka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mpepetaji

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
346
Reaction score
213
Mgombea wa Kiti cha Urais Zanzibar kupitia chama AAFP, Said Soud alisema hayo tarehe 3/09/2025 wakati anamjibu Mgombea wa Urais Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha ACT wa Wazalendo Othman Masoud Othman anayedaiwa kutoa kauli za kichochezi na kukejeli sheria za uchaguzi wakati akizungumza na wanachama wa chama hicho baada ya kukabidhiwa fomu ya Uteuzi wa nafasi hiyo na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar Agosti 31, 2025.

 
Back
Top Bottom