GE2025 Mgombea UWT Singida agalagala na kuambulia kura 12 kwa wajumbe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
au nabungeni hua wanagaragara au mganga kienyeji kampoteza maboya
 
Tabu wanayopitia Waheshimiwa hivi sasa ndio tabu wanayopitia vijana wanapomaliza chuo wakiwa wanasaka ajira, Wazee wa kubeti wanasema G-G.

Your browser is not able to display this video.
 
Ila hiyo kugalagala sijui kupiga magoti, kulia hovyo nu upumbavu mkubwa.

Toa hoja ueleweke sio kulialia, kupiga magoti au kugalagala ilhali unaenda kutetea ugali wako hata hao wajumbe hutowakumbuka, wadanganye kiutu uzima basi sio kitoto namna hiyo.
 
Nafikiri baada ya kutoka hapo na yeye sasa hivi atakuwa anaimba no reform no election.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…