Mgombea wa ACT Wazalendo kata ya Mbagala Kuu akamatwa na kupigwa na Polisi akiwa kituo cha kupigia kura

Mgombea wa ACT Wazalendo kata ya Mbagala Kuu akamatwa na kupigwa na Polisi akiwa kituo cha kupigia kura

Hawana akili

Utashirikije uchaguzi kwa mentality hii ya meko?
Ni upumbavu . Meko alishanajisi kila kitu kawanajisi polisi wote na ccm wote
Kwani Meko si kafa na mama anatekeleza sheria nchi nzima na anawakomesha mataga?
 
Zitto aendelee kumsifia mama asijali, iko siku atapewa viti vya zawadi vya ubunge.
 
Huyu Mwamba Shawej Mohamed Mketo, yeye huwa mwezi haumaliziki gari za polisi zimefika kumchukua huku nyumbani kwake Mbagala, kosa ni kufanya mikusanyiko ya kisiasa
 
Hata wakiuwawa sawa tu wamezidi unafiki,wenzao wanawaeleza umuhimu wa Tume huru wao wanaendekeza Undumilakuwili halafu wanarudi kulalamika haya ni Machukizo makubwa ni unafiki uliokomaa unaoelekea kwenye Uchawi.
 
Back
Top Bottom