Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,990
- 3,824
Watanzania. Kuweni makini. Huyu mgombea wa CCM hajawahi kutamka neno rushwa na ufisadi uliokithiri katika nchi yetu. Mnakwenda kumchagua ki vipi? Wote Hawa mgombea na mwenza wake wamechora ramani.
Ndo maana msamiati wa ufisadi haupo kwenye vinywa vyao na hata kwenye ilani yao.
Sasa mjiulize unawezaje kuongoza nchi bila kutamka na kueleza mkakati wako wa kupambana na ufisadi. Report za CAG kila mwaka Zina madudu lakini jamaa hawatamki na wameweka bingo zao tu kama zitatiki kwisha habari ya watanzania.
Wale Watanzania wenye akili tuwasaidie wenzetu ambao wanasombwa kama ng'ombe na hawatumii vizuri akili zao. Hawa jamaa ni mchwa wanaenda kutafuna mpaka mifupa.
Yule mgombea mwenza ni balaa kwasasa ni mpole na anadai yupo Tayari kwa kutumwa kazi na si mshindani lakini ameseti ramani yake vizuri.
Watanzania kazi kwenu kuuza nchi October au kuibakiza