Mgombea wa CCM Tarime akataa matokeo

Mgombea wa CCM Tarime akataa matokeo

Huyu Bwana Kangoye akubali tu matokeo kwakua alikubali kushauriwa na Tambwe Hiza ambaye kashindwa chaguzi 3 temeke alitegemea nini? Tambwe Hiza anajua sana namna ya kushindwa uchaguzi na ndio kilichotokea sasa unakataa nini? Mwaka 2010 tafuta washauri wazuri wanaojua kushinda chaguzi.
 
Dah;Kweli bwana.Nimeipenda hiyo.

Lazima uipende hakuna hata mmoja atakesema uchazguzi haukuwa wa haki na huru only kwa kuwa opposition candidate kashinda ndio standard zetu bongo hizi...
 
Back
Top Bottom