Huyu Bwana Kangoye akubali tu matokeo kwakua alikubali kushauriwa na Tambwe Hiza ambaye kashindwa chaguzi 3 temeke alitegemea nini? Tambwe Hiza anajua sana namna ya kushindwa uchaguzi na ndio kilichotokea sasa unakataa nini? Mwaka 2010 tafuta washauri wazuri wanaojua kushinda chaguzi.