LGE2024 Mgombea wa CCM Uchaguzi Serikali ya Mtaa Kunduchi apita akipiga mdundiko bila kutoa ahadi yoyote kwa wapiga kura wake

LGE2024 Mgombea wa CCM Uchaguzi Serikali ya Mtaa Kunduchi apita akipiga mdundiko bila kutoa ahadi yoyote kwa wapiga kura wake

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
ukuwaji wa technohamq mkuu usishangaeee
 
URIO ni bure kabisa, yeye mwenyewe barabara ya mtaani kwake tu imemshinda. Kiongozi hasiye ishi kwa kuonyesha mfano huyo siyo. Mdundiko ndo sera ya CCM Kunduchi.
 
Back
Top Bottom