Uchaguzi 2020 Mgombea wa CHADEMA aliyewauza kauzwa

Ndo aina ya baadhi ya wagombea wa chadema tumbo kwanza wananchi baadae
 
Kwanza Angeshindia Wapi

Angeshinda huyu...!!

Kama asingekuwa na uwezo wa kushinda, mshindani wake anayetuhumiwa kutoa rushwa (Ridhiwan Kikwete) asingemwekea mzigo wa 50,000,000 mezani...

Na kwa hakika, ange calculate vizuri move yake, angezichukua hizi milioni 50 mchana kweupe..

Bahati mbaya mwovu na mwovu walipambana, mwovu mkuu akamshinda mwovu dhaifu...!!
 
Majimbo ambayo wagombea wake hawapendwi majimboni kwao pamoja na la Chalinze,. Pengine angelikuwa amejifanyia utafiti, angeliweza kuwa Mbunge

Sjui ni lini tutafikia kwenye siasa ya kuangalia mtu anayefaa na siyo anatokachama gani!
Hiyo itakuwa suluhu ya matatizo yetu

Kwenye nafasi ya Uraisi, narudia kusema, kwenye nafasi ya Uraisi tusifanye makosa, Lisu hafai hata kujaribishia
 
Very good
 
Kama hii ni ya kweli basi huyo jamaa atakuwa mpuuzi na nusu.
 
Dah hivi hiki chama kinawezaje kuwa na viongozi wanaonunuliwa kirahisi kwa maslahi yao?
Wanachama wa chadema ni watanzania ambao Magufuli unajigamba kuwafikisha zucchini wa kati wa kipato cha USD 1080.00 kwa mwaka. JE kipato hizo unaweza kufanyia acha kujitia ufahamu ,uliza pia huyo anayewanunua anawanunua pia kwa maslahi ya nani?
 
Sio vizuri kuamini amini kila unachosikia, usikurupuke hovyo.
Mkuu amini hivyo,wewe huoni mgombea wetu wa CHADEMA anasema akiwa rais atayeweka madini yetu kama dhamana ili kupata mikopo toka kwa mabeberu wake?

Swali ni kwamba je madini ni renewable or non- renewable ? Je yakiisha si atarudi kwa familia zetu na kuziweka bondi kwa mabwana Zake?

Lissu na CHADEMA yake ni hatari kuliko ukoma.
 
Dah hivi hiki chama kinawezaje kuwa na viongozi wanaonunuliwa kirahisi kwa maslahi yao?
Na hiki chama kinakosaje ushawishi mpaka kina nunua watu huu Ni utapeli chama kimeshajiozea akina ushawishi kwa wananchi kimebakia kuiba hela za kodi na kununua watu
 
Hii kitu kama ni kweli, basi inaonesha njaa na kutojiamini, ukijumlisha usaliti ni kitu kibaya sana.

Tutasika mengi sana kwa wale waliotainguli kufanya hizo biashara za kujiuza.
Unaweka rehani kiinua mgongo Cha mil.200 kwa ahadi za mln 50 na future unapoteza,Safi Sana ndio dawa ya watu dizaini hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…