Uchaguzi 2020 Mgombea wa CHADEMA aliyewauza kauzwa

CHADEMA tukiwapa nchi watauza hadifamilia zetu,mfano mzuri ni kwa wagombea wao kununulika kirahisi namna ile.
Yaani hii habari si ya kufurahia upande wowote, iwe ni CCM au Chadema, CCM watafurahia tu kwa sababu uhalisia nia yao sio kuwatumikia wananchi ila kutumikia maslahi yao.
Chadema ni ya kuuzunishwa kwa sababu wamepoteza jimbo kirahisi, ila sio kirahisi kama itakavyodhaniwa, chezea nguvu ya pesa.
Unajua shida kuna watu hawaamini ka kura yao inaweza ikaondoa udhalimu wa ccm. Kati ya hao wapo haya ambao ni viongozi wa chadema. Ila mi hainishtui maana haijaanza kwao. Wana Israel wakiwa wanakaribia nchi ya ahadi, waliwatuma watu kwenda kuipeleleza ile nchi, walivyorudi asilimia kubwa walirudi na na taarifa ya kutisha kua wale watu ni mijitu minene, na mirefu, wana silaha za kutosha sisi kwao hatuonekani ka ni watu. Akatokea Joshua akasema wale watu ni wadogo sana, Mungu wetu ni mkubwa kuliko wao .wale wengine walifia njiani hawakufika nchi ya ahadi. Ndivyo ilivyo hata sasa kuna watu wanaiona kama haiwezi kuondka kwa sababu wana Police, wana Tume ya uchaguzi, usalama wapi nyuma yao. Lakini wanasahau kua Mungu wa wanyonge ni mkubwa kuliko ccm. Wanachadema tusikatishwe na tamaa na hao wanaoondoka ila tujifunze kutoka kwao na kuchukua hatua zaidi. Hii safari sio wote lazima wafike, Nguvu ya Umma inaguvu mno kuliko police, NEC nk.wache hao CCM wafurahie kwa sababu walishazoea kutoa rushwa
 
Unaweka rehani kiinua mgongo Cha mil.200 kwa ahadi za mln 50 na future unapoteza,Safi Sana ndio dawa ya watu dizaini hii

Njaa na usaliti ni kitu kibaya sana. Sasa kakosa hizo 45m. na hana tena ujasiri wa kukaa na watu, mwishowe atahunga juhudi mkono ili akomboe hizo zilizozuiliwa.
 
Na hiki chama kinakosaje ushawishi mpaka kina nunua watu huu Ni utapeli chama kimeshajiozea akina ushawishi kwa wananchi kimebakia kuiba hela za kodi na kununua watu

Kwenye suala la Mawakala ni aibu, Na sio kitu cha kutegemea kabisa.
 
Na like Chama kinawezsje kuwa na Viongozi Wachafu namna hii!kununua watu!
Wote Ni wapumbavu!
Dah hivi hiki chama kinawezaje kuwa na viongozi wanaonunuliwa kirahisi kwa maslahi yao?
 
Ndio dawa yao wasaliti kwanza angenyimwa na hiyo 5m😁😁😂😂
 
Afungue sasa biashara na hiyo hela maana ualimu mshahara ni mdogo kwa kweli
 
Kwa mujibu wa sheria za nchi yetu hili ni kosa la jinai,unaweza kusaidia Takukuru wawakamate mtoa rushwa na mpokeaji? Au ndio umbea kama wa wanawake wa salon? Maana kama uliona kwa nini hukiripoti Takukuru?
 
Huyu si yule Mmasai mwenye Mabucha Bagamoyo na Chalinze
 
Nauchukia sana umasikini bro, sana. Unakutoa akili na utu usipokua makini.

Ndio hapo unaikumbuka kauli mbiu ya masikini hana kiapo.
True Mkuu

Na umasikini dawa yake only ni mali,na mali inapatikana kwa kua na bidhaa,huduma au ujuzi people around you are willing to pay for!

Ila wanasiasa wetu hapa mavumbini wanatuambia ni serikali ndio itawaletea maendeleo which is a lie kwa miaka 60 sasa!

We are fvcked by these lunatics!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…