Uchaguzi 2020 Mgombea wa CHADEMA aliyewauza kauzwa

Uchaguzi 2020 Mgombea wa CHADEMA aliyewauza kauzwa

Moja kwa moja madani.

Aliyekuwa mgombea wa ubunge jimbo la Chalinze kwa tiketi ya Chadema, amedhulumiwa pesa zake kiasi cha tsh 45mil.
Awali aliahidiwa 20mil akazikataa, dau likapanda hadi 30mil akazikataa pia.
Mshua aliyepita bila kupingwa akamwekea mezani 50mil akaingia mkenge. Sasa akapewa sharti kwamba kama ameridhika na kiasi hicho, basi apewe advance, aandike barua aipeleke kwa mkurugenzi wa uchaguzi akajitoe kisha aje ajibebee mzigo ulio baki, Akakubali.

Akapewa 5mil kama advance, akafanya kadri ya makubaliano na akafanikiwa kujitoa.
Aliporudi ili akabidhiwe 45mil yake, mshua akaanza kumzungusha daily, akawa akipiga cm mshua hapokei badala yake akawa akitumiwa msg za madai, yeye anaanza kuwaonesha makada wa Chadema aliokaribu nao jinsi mgombea wao anavyo msumbua.
Baada ya siku akadhaa, ikabidi tu amwambie ukweli kwamba "hiyo 5mil ilikutosha, kama hujaridhika kashtaki.

Mimi tu nimepona, mimi tu kuwaletea habari.

Sent from my Infinix X606B using JamiiForums mobile app
Mi nijua limenunuliwa hilo lifala! ndio dawa ya wajinga!!
 
Back
Top Bottom