Mpekuzi Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 650
- 1,016
Mpaka sasa Makada wetu Wanaendelea kufuatilia hali ya mgombea na wapambe waliopata ajali usiku wa kuamkia Leo wakitoka kupiga kilaji kwa katibu uenezi Ndugu Kamanga VICENT
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaenzi ya mwenyekiti wake Mr.djMpaka sasa Makada wetu Wanaendelea kufuatilia hali ya mgombea na wapambe waliopata ajali usiku wa kuamkia Leo wakitoka kupiga kilaji kwa katibu uenezi Ndugu Kamanga VICENT View attachment 1582536
Yaani kupata ajali mpaka uwe mlevi ?!.Mpaka sasa Makada wetu Wanaendelea kufuatilia hali ya mgombea na wapambe waliopata ajali usiku wa kuamkia Leo wakitoka kupiga kilaji kwa katibu uenezi Ndugu Kamanga VICENT View attachment 1582536
Lete ushahidi........Mpaka sasa Makada wetu Wanaendelea kufuatilia hali ya mgombea na wapambe waliopata ajali usiku wa kuamkia Leo wakitoka kupiga kilaji kwa katibu uenezi Ndugu Kamanga VICENT View attachment 1582536
Inasikitisha kwa kama hii...isije kuwa ccm wamemtengenezea hiyo ajali.
..ajali wanapata cdm tu nyinyi hampati.
Kwahiyo traffic wao wanasemaje?Mpaka sasa Makada wetu Wanaendelea kufuatilia hali ya mgombea na wapambe waliopata ajali usiku wa kuamkia Leo wakitoka kupiga kilaji kwa katibu uenezi Ndugu Kamanga VICENT View attachment 1582536
Na huyu
DaaSera ya makamanda hiyo, kilaji na kazi!
View attachment 1582563
Kilaji cha makamanda.Kilaji gani!