Tetesi: Mgombea wa CHADEMA Jimbo la Igunga apata ajali akiwa kalewa Chakaliii

Mpekuzi Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2018
Posts
650
Reaction score
1,016
Mpaka sasa Makada wetu Wanaendelea kufuatilia hali ya mgombea na wapambe waliopata ajali usiku wa kuamkia Leo wakitoka kupiga kilaji kwa katibu uenezi Ndugu Kamanga VICENT
 
Yaani kwenye mikutano wanapiga michango usiku wanaenda kuzipigia sanitaiza.

Wameumbuka.
 
..isije kuwa ccm wamemtengenezea hiyo ajali.

..ajali wanapata cdm tu nyinyi hampati.
 
Sera ya makamanda hiyo, kilaji na kazi!
 
kwa namna hii taarifa ilivyoletwa kikuda, ma ccm LAZIMA kuna namna yatakuwa yanahusika!!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…